Porojo za Dodoma haziniumizi kichwa – Halima Mdee
Mdee ambaye yupo mkoani Kilimanjaro kwaajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Moshi, Philemon Ndesamburo, amedai haumizwi kichwa na tukio lililotekea bungeni.
Tunamsindikiza jemedari wa MAGEUZI MHE PHILEMON NDESAMBURO kwenye nyumba ya milele!Porojo za DOM haziniumizi kichwa!alitweet Mdee.
Halima Mdee na Bulaya wanaadhibiwa kwa kosa la kudharau mamlaka ya Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Post a Comment