Nyimbo 20 kali za wiki kwenye Top 20 ya Clouds FM June 4, 2017

Kila Jumapili kuanzia saa 5:00 Asubuhi mpaka saa 7:00 Mchana countdown ya nyimbo 20 bora inafanyika kwenye Clouds FM Top 20 ambapo list ya June 04, 2017 ni hii hapa chini ambayo imesimamiwa na mtangazaji Michael Lukindo.
Mabadiliko hayajakosekana kwenye chart ingawa sio makubwa yakishuhudiwa maingizo matatu; Hasara Roho wa Darassa, Bongo Bahati Mbaya wa Young Dee na Malaika wa Nyanshiski zikiwa nyimbo mpya kwenye list. Kwa wiki ya pili mfululizo wimbo Go Down wa Chege & Temba umekamata nafasi ya kwanza.
Post a Comment