Nisha baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na ex-boyfriend wa Shilole
Miongoni mwa story ambazo zinasambaa kwenye mitandao ya kijami kwa sasa
ni pamoja na hii ambayo inamhusu staa mwigizaji wa Bongo Movie Nisha akidaiwa kuwa mapenzini na mpenzi wa zamani wa Shilole, Caro, staa huyo ameibuka na kudai kuwa huo ni uzushi.
Post a Comment