‘Kwa sasa nina Manager mpya mbali na Yamoto Band’ Becka Flavour
Yamoto Band ni moja ya makundi kutoka Bongoflevani lakini kwa sasa waimbaji wa Kundi hilo wameamua kila mmoja kutoka kivyake na mara hii Beka Flavor ambaye amekaa na Ayo TV na millardayo.com akisimulia alivyokutana Said Fella.Katika safari yake ya muziki Beka Flavor amesimulia namna alivyokutana na Mkubwa Fella na kufikia hatua ya kuunda Yamoto Band ambapo mbali na hayo amezungumzia elimu yake na uhai wa kundi hilo ambalo linadaiwa kuvunjika.
Post a Comment