Header Ads

Music: Wizkid azidi kuonyesha yeye ni namba 1 Afrika


Wizkid anazidi kutengeneza ukuta mkubwa ambapo inazidi kuwa ngumu kwa wasanii wengene wa Afrika kuweza kuuvuka kiurahisi na kumfikia.
Baada ya muimbaji huyo wa Nigeria kufanya ngoma na mastaa wakubwa duniani kama Chris Brown, Ty Dolla $ign, na Drake, sasa hivi ameamua kuja na ngoma mpya “Naughty Ride” aliyowashirikisha kundi a muziki la Major Lazer kutoka Marekani.
Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo, kupitia mtandao wake wa Twitter ameandika, “Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday ! 🔊🔊.” Sikiliza wimbo huo hapa JUU.





No comments