Header Ads

JOKATE MWEGELO NDANI YA JARIDA LA FORBES


Mrembo na mjasilia mali kutoka Bongo, Jokate Mwegelo aingia kwenye jarida la forbes la vijana wenye umri wa miaka chini ya 30 kupitia sekta mbalimbali.
Kupitia kurasa yake ya Twitter Jokate Mwegelo ameamua kushare hisia zake na mashabiki wake kwa kusema kwamba “It’s always a blessing to be recognized for your hard work, leadership and vision. Tanzania is on the rise . Congrats to all #30Under30”
It's always a blessing to be recognized for your hard work, leadership and vision. Tanzania is on the rise ðŸ‡¹ðŸ‡¿. Congrats to all ❤️#30Under30


God is so amazing!! Made it to the 30 under 30 list and on the cover of @forbesafrica with some amazing young Africans. I’m like

No comments