Header Ads

WIZKID AFANYA KUFURU! ANUNUA SAA YENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH BILLION 2.6



Usiseme hela hakuna, sema hela huna wewe mshkaj wangu. Unajua kwa nini nakwambia hivyo!? Mkali wa muziki kutoka Afrika Magharibi Wizkid Ayo anayetamba na ngoma yake ya “Manya” saa hii ameteketeza zaidi ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 2.6 kwa kununua saa ya kuvaa mkononi tu.
Kupitia Instagram story ya mkali huyo amepost video fupi inayomuonyesha ametupia saa hiyo na kwenye video hiyo amefunguka kuwa saa hiyo imegharimu kiasi cha US Dollar 1.2m ambazo ni sawa na zaidi ya Billion 2 na millioni 600 za kitanzania.

No comments