Dharau za Sanchez kwa Chelsea zavuka mipaka
Alexis Sanchez akifanya masikhara wakati wachezaji wenzake wa Arsenal wakifanya mazoezi
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile, Sanchez ameonekana mwenye kujiamini huku akishuka kutoka katika ‘tractor’ mbele ya kamera za Arsenal wakati wenzake wakiwa katika mazoezi kana kwamba anauhakika wa kushinda mchezo wao dhidi ya Chelsea.
Mchezaji huyo wakimataifa wa Chilean akiigiza anaendesha gari aina ya tractor wakati kikosi cha Arsenal kikijiandaa na mchezo dhidi ya Chelsea
Mbali na maskhara yaliyokuwa yakifanywa na Sanchez, mazoezi yamezidi kuendelea ili kujiimarisha zaidi chini ya kocha , Arsene Wenger.
Katika kikosikilichokuwepo mazoezini ni pamoja na wachezaji wazoefu kama, Jack Wilshere, Danny Welbeck na Theo Walcott wakati vijana wengine ni Joe Willock, Ainsley Maitland-Niles na Eddie Nketiah.
Post a Comment