Header Ads

VideoMPYA: Vanessa Mdee kashirikishwa na Mgabon, wimbo umepewa jina la Kiswahili ‘imara’



Mwimbaji staa wa BongoflevaVanessa Mdee anayo furaha kuendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania na kukitangaza Kiswahili zaidi, hii ni video ya wimbo alioufanya na Msanii maarufu wa Jazz nchini Gabon aitwae Frederic Gassita.

No comments