New Audio Wizkid ameachia balaa lingine
Msanii wizkid wa Nigeria baada ya kutoa taarifa kuwa Leo hii ataachia ngoma ya “Manya” tayari amefanya balaa.
Basi bila kuwaangusha mashabiki zake tayari ameachia Audio ya ngoma hiyo ambayo ameshirikiana na MUT4Y
Post a Comment