Header Ads

New Audio: Foby ft Mr Blue – Naomba

Msanii wa muziki Foby ameachia audio ya ngoma yake iitwayo ‘Naomba’ aliyomshirikisha Mr.Blue, audio ya ngoma hiyo imetayarihswa na Da pro kutoka studio za SB Music, ila kwa upande wa mastering imefanywa na C9 Kanjenje.

No comments