Diamond na Rick Ross kukinukisha Desemba Mosi (+video)
Msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amesema kuwa kolabo yake na rapper Rick Ross itatoka Desemba Mosi mwaka huu.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Hallelujah’ amesema hayo katika mahojiano na kituo cha redio cha The Beat Jijini Londo, Uingereza.
Pia ameongeza kuwa ngoma hiyo itapatikana kwenye album yake ‘A Boy From Tandale’ ambayo ipo mbioni kutoka.
Post a Comment