Header Ads

ASLAY – HAUNA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)


Msanii wa Bongo, Aslay Isihaka anayekimbiza kwa sasa kwa kuwa na nyimbo nyingi na nzuri kwa muda mfupi jana ametoa video mpya ya Hauna ambayo mpaka muda huu imetazamwa na watu zaidi ya laki 250.

No comments