Header Ads

Wasanii wa Afrika waliyotajwa kuwania tuzo za MTV Europe



Mwaka 2017 vipengele vya tuzo za MTV Europe Music Awardszimetangazwa na zitafanyika November 12 jijini London na baadhi ya wasanii kutokea Bara la Afrika kutajwa hususani NigeriaSouth AfricaAngola na Kenya wametajwa kuwania tuzo hizo.
Wasanii wanaowania tuzo hiyo ya Best African Act 2017 ni pamoja na Davido na Wizkid wanaotokea NigeriaNastyC  pamoja na Babes Wodumo kutokea South AricaNyashiski kutokea Kenya,  C4 Pedrokutokea Angola, tuzo ya tuzo ya Best African Act 2016 alishinda Alikibawa Tanzania.
Utambuzi wa muziki wao unaofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla umewapa jukwaa la kutambulishwa na kuwa miongoni mwa wanamuziki waliochaguliwa katika MTV European Music Awards 2017, kwa mwaka huku hakuna msanii wa Tanzania aliyetajwa.

No comments