Header Ads

Video: RDJ Mamie wa EFM akanusha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Chemical





Dj wa kituo cha radio cha EFM, Mamie maarufu kama RDJ Mamie amefunguka juu ya tetesi zilizokuwa zimezagaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja na rapper wa kike Bongo, Chemical.

No comments