Header Ads

Video: Lulu kama mwali Mahakamani akiwakwepa waandishi


Muigizaji Lulu akiwa anatoka Mahakamani baada ya kusikiliza maoni ya Wazee wa Baraza. Hukumu ya kesi hiyo ya kuuwa bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba. Lulu ametoka Mahakamani hapo kama mwali alikwepa waandishi wa habari.

No comments