Header Ads

TAIRO STAR kuachia kombola BBK "BANANA"

https://my.notjustok.com/track/download/id/277879
Tairo star ni moja kati ya wasanii wa Tanga wanaofanya vizuri kwenye anga nzima ya bongo fleva na Mzigo wa kwanza uliomtambulisha sokoni ni ngoma yake ya "NASHINDWA" ambayo imefanywa na mikono michafu ya Rex beat.
Na ngoma ya pili ya "TAIRO STAR" ikawa inaenda kwa jina la "MONIKA" Na leo kupitia Bongo bab kubwa ya mwambao fm 106.1 Tairo ametambulisha ngoma mpya inayofahamika kama "BANANA" iliyotengenezwa na producer Swabry wa hunters records.
Download sasa "BANANA" hapo juu 

Story na Hamisi Hemedi  (Prismatics).

No comments