Header Ads

Picha: Orodha kamili ya washindi wa Afrimma 2017





Ugawaji wa tuzo za Africa Muzik Magazine Awards & Music Festival (AFRIMMA) umefanyika alfajiri ya leo nchini Marekani katika jiji la Dallas Texas, huku mstaa kama Diamond Platnumz, Victoria Kimani, C4pedro, Tiwa Savage na wengine wakiibuka vinara wa tuzo hizo.
Na hii ndio orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo kwa mwaka huu.
1.Best Male West Africa – Falz (Nigeria)
2. Best Female West Africa – Tiwa Savage (Nigeria)
3. Best Male East Africa – Diamond Platnumz (Tanzania)
4. Best Female East Africa – Victoria Kimani (Kenya)
5. Best Male Central Africa -C4 Pedro (Angola)
6. Best Female Central Africa – Nsoki (Angola)
7. Best Male Southern Africa- Cassper Nyovest (South Africa)
8. Best Female Southern Africa – Babes Wodumo (South Africa
9. Crossing Boundaries with Music Award C4 Pedro (Angola)
10. Best Newcomer -Nsoki (Angola)
11. Artist of The Year – Davido (Nigeria)
12. Best DJ Africa – Dj Spinall (Nigeria)
13. Best African Dj USA – Dj Tunez (Nigeria)
14. Video of The Year -Fally Ipupa – Eloko Iyo Congo
15. Music Producer of The Year – Julz (Ghana)
16. Best African Dancer – Ghetto Triplets Kids – Uganda
17. Song of The Year – Davido – IF (Nigeria)
18. Best Lusophone – C4 Pedro (Angola)
19. Best Francophone – Fally Ipupa (Congo)
20.Best Sound Engineer -Sheyman (Nigeria)
21. Best Collaboration -Wizkid ft Chris Brown – African Bad Girl (Nigeria & USA)
22. Transformational Leadership Award -Engineer Noah Dallaji
23. Best Rap Act -Sarkodie (Ghana)
24. Dancehall Act of The Year – Timaya (Nigeria)
25. Best Video Director – Daps (Nigeria)
26. Best Male North Africa- Amr Diab (Egypt)
27. Best African Dj – Dj Spinall (Nigeria)
28. Best Gospel Artist -Nathaniel Bassey (Nigeria)
29.Best Female North Africa – Amani Swissi (Tunisia)

No comments