Header Ads

PICHA 2: Hapa ndio zinafanyika tuzo za AFRIMMA 2017



Tuzo za African Music Magazine Awards(AFRIMMA) zinafanyika usiku October 8 2017 nchini Marekani katika mji wa Texas Dallas, baadhi ya wasanii kutokea bara la Afrika wamechaguliwa kuwania tuzo hizo katika vipengele tofauti tofauti.
Baadhi ya wasanii waliochaguliwa ni DavidoWizkidMr EaziTeknokutokea nchini Nigeria ambao wanawania tuzo ya Best Male West Africa, wasanii hao ndio wanaongoza kuingia katika vipengele vingi kwa mwaka 2017 akiwemo Diamond Platnumz kutokea Tanzania ambaye pia anawania tuzo ya Best Male East Africa.
Wakifatiwa na wasanii wengine wa kike kutokea nchini Nigeriawanaowania tuzo kama Best Female West Africa akiwemo Yemi AladeTiwa Savage , Simi kutokea NigeriaEffya na Becca kutokea Ghana, wasanii wengine kutokea Tanzaniapamoja na Vanessa Mdee na Dyna Nyange.

No comments