Header Ads

Kesi ya Lulu Kuanza Kusikilizwa Leo

Kesi ya Lulu Kuanza Kusikilizwa Leo


Kesi inayomkabili muigizaji maarufu hapa nchini, Elizabeth Michael Lulu inatarajia kuendelea leo katika mahakama kuu kanda ya  Dar es Salaam.

Mapema Leo asubuhi msanii huyo amewasili mahakamani hapo akiambatana na mama yake mzazi, Lucresia Karugila   kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili ya kusababisha kifo cha Steven Charles Kanumba bila kukusudia.

No comments