Header Ads

JARIDA LA VIBE.NG KUMPA SHAVU PETER WA P-SQUARE


Jarida la Vibe.ng kutoka nchini Nigeria limempa shavu msanii wa muziki Peter aliyekuwa moja ya memba wa kundi la P-Square, linalounda na yeye pamoja na pacha wake Paul.
Kupitia jarida hilo linalotarajiwa kutoka hivi karibuni, Peter ama Mr.P amefunguka mengi ikiwemo kutochanganya biashara na masuala ya familia, vile vile ameelezea juu ya kuvunjika kwa kundi hilo ambalo limefanya kazi kwa pamoja kwa zaidi ya miaka 10.
“One thing I will never do when I come back to this life again is mix family with business,” Peter Okoye, now known as Mr P, says as he discusses the break up of P-Square,’’ ameleza Peter kupitia jarida hilo la Vibe.
Kwa sasa Peter anafanya kazi zake binafsi na  amesha achia video yake ya kwanza iitwayo ‘Cool It Down’wiki moja iliyopita.
Baadhi ya picha zinazopatikana katika jarida hilo.

No comments