Header Ads

Hatimae zamaradi mketema wa clouds tv aolewa

Mtangazaji wa Kipindi cha Take One kinachorushwa na Clouds TV, Zamaradi Mketema akiwa katika pozi la kimahaba na mume wake baada ya kufunga ndoa.
Zamaradi na mumewe wakiongea jambo kwa furaha.
Shangwe zikiendelea.
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Clouds, Zamaradi Mketema amefunga ndoa na mwanaume anayetajwa kuwa mtoto wa kigogo mmoja mkubwa wa serikali.
Picha za wawili hao wakifunga ndoa, zilipoanza kuzagaa mitandaoni, zilizua gumzo kubwa ambapo baadhi ya watu walidai kuwa si picha za ndoa bali ni filamu huku wengine wakidai kwamba ni ndoa halisi.

No comments