Header Ads

DIAMOND PLATNUMZ AENDELEA KULIAMSHA DUDE SOUTH


Share this

Baada ya purukushani za muda mrefu kutokana na matatizo kati yake na Mama watoto wake Diamond ameendelea kujichimbia South kwa Zarithebossladykuendelea kumtuliza baada ya vurugu la Hamissa Mobeto hivi karibuni.
Diamond ambae anaonekana sasahivi yupo karibu sana na familia yake yaani ZariPrinces Tyfa na Prince Nillan katika hali ya furaha hivi sasa kama inavyoonekana katika mtandao wa Instagram. Wataalam wa mambo wanasema huenda ikawa bwana Chibu Dangote ana mishale ya moto, maana visa vyote vile Zari kaamua kumsamehe???
Hamisihemedi.com imenasa matukio yote yanayoendelea kati yao. Ila tuna wasiwasi mkubwa maana Zari ni wamoto kabisaa.

No comments