• s

Tangu achukue mikoba ya Carlo Ancelotti kocha Jupp Heynckies amekuwa na matokeo mazuri huku timu hiyo ikiibuka na ushindi mnono katika mchezo wake wa kwanza angu achukue mikoba hiyo huku katika michezo miwili Bayern imeibuka na zaidi ya magoli tisa.
Muller is mobbed by his Bayern team-mates after breaking the deadlock and firing them ahead in the contest
Kocha huyo amekuja kuibeba Bayern mpaka mwisho mwa msimu huu baada ya kuona jahazi linazama chini ya mwalimu Ancelotti ambaye alionekana kufanya vibaya.
BAYERN MUNICH Ulreich, Kimmich, Hummels, Boateng, Alaba, Robben, Rudy, Thiago, Coman, Muller, Lewandowski.
SUBS NOT USED: Starke, Sule, Rodriguez, Rafinha, Vidal, Tolisso, Friedl.
GOALS: Muller 17, Kimmich 29, Hummels 51
CELTIC: Gordon, Gamboa, Lustig, Boyata, Tierney, Roberts, Ntcham, Brown, Sinclair, Armstrong, Griffiths.
SUBS NOT USED: De Vries, Bitton, Dembele, Rogic, Ajer, McGregor, Forrest.
REFEREE: Sergei Karasev (Russia)


Kimmich celebrates his goal with his Bayern team-mates as Bayern Munich moved through the gears at the Allianz Arena Bayern put on a solid showing in front of their home fans and continued their upturn in form under Jupp HeynckesMuller is mobbed by his Bayern team-mates after breaking the deadlock and firing them ahead in the contestThomas Muller punches the air in celebration after putting Bayern Munich ahead after 17 minutes of the tie played