Header Ads

TANZIA: MBUNGE MPYA WA CUF AFARIKI DUNIA


Bi Hindu Mwenda enzi za uhai wake.
MBUNGE mteule wa Chama cha Wananchi (CUF)Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbilialipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu jana jioni.
Marehemu Bi Hindu alikuwa ni miongoni mwa wabunge wapya waliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)kuchukua nafasi ya wabunge nane wa chama hicho ambao walivuliwa uanachama na Mwenyekiti wao, Prof. Ibrahim Lipumba.

No comments