Header Ads

PSG YAMTWANGA "MTU" MABAO 6-2, NEYMAR ATUPIA MBILI, CAVANI KAMA KAWA



PSG imeitwanga Bordeaux kwa mabao 6-2 huku mshambulizi wake Neymar akipiga mabao mawili.

Pamoja na Neymar kupiga mabao mawili, wengine waliofunga ni Edinson Cavani, Thomas Meunier na Julian Draxler nao wakatupia mabao.






No comments