Header Ads

PETIT MAN ALIA NA WALIOVUJISHA PICHA ZAKE ZA MAHABA NA MOBETO!


SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaonizikimuonyesha mwanamitindo huyo akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache. Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka na kutoa kauli nzito.
Petitman Na Mobeto
PETITMAN ANENA!
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petitalipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi yake Mobeto, kwa sababu anazaliwa mama mmoja na baba mtotowake. Na kuandika ujumbe ufuatao:
NENO LA MWANDISHI
Kila binadamu ana jana yake, leo na keshoambayo ni fumbo, kwa sababu ameshasema kwamba picha hizo ni jana yake, ambayo haiuhusiani kabisa na leo yake. Basi ni vyema hao wanaohusika na usambazaji wa picha hizo, mkasitishazoezi hilo, kwani Petit ni mume na baba wa familia kwa sasa.
Kushoto ni Esma, Katikati Mama Yake, Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Mobeto

Mobeto naye ana maisha yake mengine kabisa, kwa hiyo kuvujisha picha hizo kunaweza kusababisha migogoro katika familia hizi mbili ambazo zina uhusiano wa karibu.

No comments