Header Ads

PAMOJA NA KUIKOSA MTIBWA, THSHISHIMBI AMEENDELEA KUJIFUA KAMA ANA MECHI





Pamoja na kuwa ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, kiungo Papy Tshishimbi ameendelea kujifua kama kawaida.

Thshishimbi raia wa DR Congo ataukosa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar wakati Yanga ikiivaa timu hiyo Jumamosi ijayo.

Lakini Mkongo huyo ameendelea na mazoezi kama kawaida utafikir ni mtu mwenye mechi wiki ijayo.

"Kweli, Tshishimbi amekuwa akiendelea kujifua kuhakikisha anakuwa vizuri atakaporejea. Lakini anafanya hivyo kuhakikisha hapotezi ile hali yake ya kuwa fiti," kilieleza chanzo.

No comments