Header Ads

OMMY DIMPOZ hafichi tena, mahaba waziwazi kwa shemeji (+video)



Siku ya September 7, 2017 kupitia mtandao wa Snapchat Staa Ommy Dimpoz ameamua kutuonesha mwanamke ambaye anadaiwa kuwa huwenda akawa ndiye mpenzi wake ambapo mara baada ya picha na video zikiwaonesha wako pamoja katika mapozi tofauti tofauti.
Ommy Dimpoz ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘Cheche’amepost video na picha akiwa na mrembo huyo kwenye mtandao wa Snapchat na kuzua gumzo ya kuwa huyo ndiye mpenzi wake kwa sasa.
Bonyeza Play kuona video yaOmmy Dimpoz na mwanamke huyo

No comments