Header Ads

Nicki Minaj ajigamba kupitia albamu yake ijayo





Unatamani kuisikia albamu mpya ya Nicki Minaj? Fahamu kuwa itakuwa ni moto wa kuotea mbali.
Malkia huyo kutoka Young Money, amewaambia mashabiki wake wakati wa New York Fashion Week, kuwa albamu yake ijayo itakuwa ni hatari sana.
“I love you and I adore you. Oh, the album. Oh my God! The album is so fuckin’ good!,” Nicki amewaambia mashabiki wake.
Hata hivyo Minaj bado hajataja tarehe rasmi ambayo ataachia albamu yake hiyo itakayo kuwa ni ya nne.

No comments