Header Ads

LWANDAMINA ATUA, AONGOZA MAZOEZI YANGA


kocha wa yanga Lwandamina
Kocha wa Yanga  Lwandamina, (wa pili kutoka kulia), akizungumza jambo.

KOCHA wa Yanga raia wa Zambia George Lwandamina, hatimaye amerejea kwenye klabu yake hiyo na kuanza kuinoa rasmi leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, akitokea kwao Rusaka, Zambia ambako alienda kwaajiri ya kufanikisha shughuli za maziko ya baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki iliyopita.

Yanga ambayo Jumatano hii inatarajia kusafiri kwenda mkoani Njombe  kukabiriana na kikosi cha Njombe Mji kwenye katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara ambapo utachezewa kwenye  Uwanja wa Sabasaba mjini humo.

picha zaidi

kocha wa yanga Lwandamina
Wachezaji wa Yanga wakipasha misuli.

kocha wa yanga Lwandamina
Mazoezi yakiendelea.

kocha wa yanga Lwandamina
Ibrahim Ajib akipiga chenga.

No comments