Header Ads

LEWANDOWSKI ACHEZA MECHI YA 100 BUNDESLIGA HUKU AKIPIGA MBILI NA KUISAIDIA BAYERN KUREJEA NA KUSHINDA 4-0


Unaweza kusema Bayern Munich baada ya kuichapa Mainz kwa mabao 4-0 huku mshambuliaji wake, Robert Lewandowski akifunga mawili.

Ilionekana kama Bayern wanasuasua katika Bundesliga lakini ushindi huo unaibua matumaini kwao na mashabiki wao kwamba wanaweza kufanya vizuri sasa.

Wangeweza kushinda kwa mabao mengi lakini walishindwa kutumia nafasi nyingi walizopata.


Lewandowski alikuwa anacheza mechi yake ya 100 ya Bundesliga wakati wa ushindi huo.





No comments