Header Ads

Duma ajigamba kwa Gabo ‘Nina demu mkali’


Baada ya Gabo Zigamba kudai kuwa  Duma hana demu mzuri . Hatimae Msanii wa filamu aliyewahi kufanya vizuri na tamthilia ya Siri ya Mtungi, Daudi Michael  maarufu kama Duma amemjibu msanii huyo sambamba na kuonyesha picha za mwanamke wake.
Duma amemuonyesha mrembo huyo ambaye katika Instagram anafahamika kama og_agness. Mrembo huyo amekuwa akituhumiwa kupiga picha za utupu ili kujiingizia kipato ambapo hata profile yake inaonyesha.
Duma akiwa na mwanamke anaedai kuwa ni mwanamke wake
Duna na Gabo wamekuwa na mzozo huku Duma kumuita Gabo kuwa ni kirusi katika tasnia hiyo hivyo yeye ni ‘anti Virus’ atajitahidi kuwarekebisha wasanii wa filamu.
Huyu ndiye mwanamke anaedaiwa ni mpenzi wake:

No comments