Header Ads

BREAKINGNEWS: RAIS MAGUFULI AMWAPISHA PROF. IBRAHIM JUMA KUWA JAJI MKUU


RAIS Dkt. John Magufuli amemwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande.

No comments