Header Ads

AMUELEZA ANACHOTOA MADRID "HAKITOSHI"


Wakati Real Madrid inashuka dimbani kuivaa Real Sociedad katika mechi ya La Liga, Kocha Mkuu, Zinedine Zidane amemuambia Gareth Bale anahitaji kuona matunda zaidi kutoka kwake.

Zidane amemuambia Bale ’28’ kwamba angependa kuona anafanya vema na kuwa msaada zaidi.

Mechi ya leo itakuwa ni ya tano na ya mwisho kwa Cristiano Ronaldo aliyesimamishwa mechi tano.


Maneno ya Zidane, ni wazi kwa kuwa tokea amerejea majeruhi, Bale hajawahi kuwa  msaada mkubwa 


No comments