Header Ads

Video,Ben Pol afunguka ya Ebitoke kumlipa Milioni 3



Msanii wa muziki Ben Pol amekanusha taarifa ambazo zinazagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba alilipwa tsh milioni 3 na uongozi wa Timamu Media ili afanye kiki na mchekeshaji, Ebitoke. Muimbaji huyo amedai kila kitu ambacho kimetokea kwenye maisha yake akiwa na Ebitoke hakuna Kilichotengezwa huku akidai yote yalikuwa ni maisha yake halisi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI 

No comments