Header Ads

Huu ndio wimbo wa kwanza kutoka studio ya Rayvanny ‘Surprise Music’


Je unaufahamu wimbo wa kwanza ambao utaanza kutoka chini ya studio mpya ya Rayvanny, Surprise Music?
Basi fahamu kuwa ngoma iitwayo ‘Ngarenaro’ ya Dogo Janja unaotarajiwa kutoka rasmi Jumatano hii ndio utakuwa wa kwanza kutoka chini ya studio hiyo ambapo Rash Don ndio mtayarishaji wake.
Hata hivyo tayari kuna wasanii wengine wakubwa wanadaiwa tayari wameshafanya ngoma katika studio hiyo akiwemo Madee, Maromboso na wengine.

No comments