Header Ads

USAJILI: Singida United yaonyesha nguvu ya SportPesa kumng’oa winga hatari wa Simba SC (Picha)




Klabu ya Singida United FC inayodhaminiwa na kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa imemsajili aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Simba, Pastory Athanas kwa kandarasi ya miaka miwili.
Mkurugenzi wa Singida United ndg,Festo Sanga(kushoto) na Mchezaji Pastory Athans (kulia)

Winga huyo wa kulia ni miongoni mwawachezaji wazuri licha ya kuonekana ya kuonekana sichaguo sahihi kwa kocha wa klabu ya Simba Mcameroon, Joseph Omog, hivyo ameamua kupeleka huduma yake kwa timu ya Singida United Fc.
Hapo pichani ni Pastory Athans akikabidhiwa jezi na Mkurugenzi wa Singida United ndg. Festo Sanga.

No comments