Header Ads

Sio kwa utamu wa dakika 90 tuu Paul pogba..kikapu pia



Achana na ishu ya Kudab na kukimbiza uwanjani kwa uwezo wake wa Soka, Paul Pogba aamua kutonyesha uwezo wake mwingine wa kucheza kikapu baada ya kumfunga nyota Joel Embiid katika mchezo wao wa One on One.
Image result for Joel Embiid
Nyota huyo wa Manchester Unitedalikinukisha na nyota kutoka Philadelphia 76ers Joel Embiid ambapo Pogbaalionekana akimshinda nyota huyo na baada ya hapo Paul Pogba akagoma kuendelea na mchezo huo kutamba kuwa yeye ni mshindi.
Kupitia kurasa yake ya Twitter Paul Pogba alishare kipande cha video ambacho alivyomchapa Joel Embiid

No comments