Header Ads

New Video: Joh Makini Ft Davido – Kata Leta


Hatimaye ile kolabo ya rapa Joh Makini na muimbaji, Davido kutoka nchini Nigeria iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa imetokoka weekend hii. Wawili hao wameungana kwa pamoja na kuandaa wimbo ‘Kata Leta’ ambao umeachiwa na video. Audio ya wimbo huo imeandaliwa na The Industry chini ya producer Nahreal.

No comments