Header Ads

Mtangazaji wa Azam TV atoweka Katika Mazingira ya Kutatanisha...Ndugu zake Wahaha Kumtafuta


Mtangazaji wa Azam Tv Fatna Ramole ametoka katika Mazingira ya kutatanisha kwa muda wa siku mbili sasa.
Ramole ambaye pia ni Mtayarishaji wa vipindi kwenye Televisheni hiyo ameripotiwa na Ndugu yake anayitwa Lulu ramole kwenye mtandao wa Picha wa Instgramu.

No comments