Header Ads

MORATA SASA NI RANGI YA BLUU, CHELSEA YATOA MILIONI 70, MSHAHARA PAUNI 155,000 KWA WIKI



Hatimaye Chelsea imetimiza ilichotaka kwa kumnasa mshambuliaji Alvaro Morata kutoka Real Madrid kwa mkataba wa miaka mitano.

Chelsea imemwaga pauni milioni 70.6 ili kumpata Mhispania huyo ambaye awali alielezwa kuwa atakwenda Man United.

Morata atakuwa akilipwa mshahara wa pauni 155,000 kwa wiki. 



No comments