Header Ads

Mchezaji wa Zamani wa Real Madrid Roberto Carlos Apata Mtoto wa Tisa


Roberto Carlos akiwa na mkewe, Mariana baada ya kujifungua mtoto wa pili kwenye mahusiano yao mwishoni mwa wiki waliyempa jina Marina. Huyo anakuwa mtoto wa tisa beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid, kwani amezaa watoto saba na wanawake wengine kabla ya Mariana.

No comments