Header Ads

Makalio feki ya muumbua Blac Chyna


Mwanamitindo ambaye alikumbwa na sekeseke la kudhalilishwa na mzazi mwenzake Rob Kardashian, Blac Chyna ameingia katika vichwa vya habari baada ya makalio yake kumuumbua.
Chyna ambaye ni rafiki mkubwa wa Amber Rose amejikuta akiaibika punde baada ya paparazi kuzinasa picha zake na kuzoom.

No comments