Alfajiri ya leo Mbelgiji Romelu Lukakuamefunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na club ya Manchester Unitedkatika mchezo wa kirafiki ambao Unitedimecheza na club ya Real Salt Lake ya Marekani.
katika game hiyo United iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ambapo Henrik Mkhitaryan alifunga bao lingine la United.