Header Ads

Hii ndio ‘First Eleven’ ya Gor Mahia itakayo waangamiza Everton





Hiki ndicho kikosi kamili cha Gor Mahia FC kilichotua nchini jana ili kuwavaa Everton July 13 kunako Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mpambano huo umezidi kuwa gumzo nchini huku wadau mbali mbali wasoka wakionyesha shauku yao ya kushuhudia timu inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza inavyo wakabili miamba ya Sportpesa Super Cup Gor Mahia ya Afrika Mashariki ikitokea nchini Kenya
Viingilio vya mchezo huo ni Sh 8000/= kwa VIP C na Sh 3000/= kwa viti vya mzunguko na mchezo unatarajiwa kuanza majira ya saa 11 jioni.

No comments