Hatimaye Simba SC yapata uongozi mpya
Rais wa Simba Aveva na Makamu wake Geofrey Nyange
Kamati hiyo iliyokutana kwenye kikao cha dharura, baada ya viongozi wake wa ngazi za juu kukosa dhamana kwenye kesi yao iliyokuwa ikiendeshwa katika Mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, juu ya makosa yao yanayowakabiri ya kutakatisha fedha kinyume cha sheria.
Post a Comment