Header Ads

VIDEO: Diamond Kaongea Baada ya Rayvanny Kushindi Tuzo ya BET

Ni Mwimbaji staa wa Bongo Fleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi wake pamoja na ukali wake wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambae June 24, 2017 ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist, Sasa leo June 25, 2017 Ayo TV na Millardayo.com imempata Diamond Platnumz kuzungumzia ushindi wa Rayvanny.

Itazame hii video hapa:

No comments