Picha: Familia ya Obama yatembelea Indonesia
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na familia yake wametembelea
nchini Indonesia kwa mapumziko yao binafsi wakiwa na ulinzi mzito.
Obama na familia yake waliwasili nchini humo wakiwa katika ndege binafsi ambayo walifikia katika moja ya hoteli za kifahari. Ziara hiyo imefanyika kwa muda wa siku tano na ametembelea sehemu mbalimbali kama vile kisiwa cha Bali, na Magelang kisha kuelekea katika mji wa kihistoria wa Yogyakarta.
Moja ya mtu aliyesoma na Rais huyo Sonni Gondokusumo(56,) alisema kuwa “I feel proud that my friend became a president, He was a clever boy. Whenever a teacher asked him to solve a problem in front of the class, he could do it,” ameeleza mtu huyo.

Post a Comment