Header Ads

New Audio: Gigy Money – Papa


Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa kwanza, Supu, muimbaji Gigy Money ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Papa’. Wimbo huo umeandaliwa na producer, Kimambo Touches.

Gigy ameachia wimbo huo kupitia mtandao wa Wasafi.Com
Muimbaji huyo ambaye ni video queen aliiambia hamisi hemedi.com kuwa wimbo unamtaka mwanamke kujiamini.

No comments